Papa Pius VI

Papa Pius VI (27 Desemba 171729 Agosti 1799) alikuwa Papa kuanzia tarehe 15 Februari 1775 hadi kifo chake.

Papa Pius VI.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Angelo Braschi.

Alimfuata Papa Klementi XIV akafuatwa na Papa Pius VII.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Pius VI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.