Yul Brynner (11 Julai 192010 Oktoba 1985) alikuwa mwigizaji filamu maarufu wa Broadway na Hollywood. Brynner alizaliwa Urusi lakini baadaye alikuja kuwa raiya wa Marekani. Ameonekana katika filamu nyingi za Marekani. Vilevile katika filamu za Italia (Spaghetti Western) alicheza Seven Magnificent na nyingine nyingi tu. Brynner alikufa kwa ugonjwa kansa ya ini.

Yul Brynner
Jina la kuzaliwa Yuliy Borisovich Bryner
Alizaliwa 11 Julai 1920
Kafariki 10 Oktoba 1985
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1941 - 1985
Ndoa Virginia Gilmore (1944 - 1960) Doris Kleiner (1960 - 1967) Jacqueline Thion de la Chaume (1971 - 1981) Kathy Lee (1983 -1985)
Wazazi Boris Yuliyevich Bryner
Marousia Dimitrievna Blagovidova

Filamu alizoigiza

hariri

Alizoshriki

hariri
  • Port of New York (1949)
  • The King and I (1956)
  • The Ten Commandments (1956)
  • Anastasia (1956)
  • The Brothers Karamazov (1958)
  • The Buccaneer (1958)
  • The Journey (1959)
  • The Sound and the Fury (1959)
  • Solomon and Sheba (1959)
  • Once More, with Feeling! (1960)
  • Testament of Orpheus (1960)
  • Surprise Package (1960)
  • The Magnificent Seven (1960)
  • Goodbye Again (1961)
  • Escape from Zahrain (1962)
  • Taras Bulba (1962)
  • Kings of the Sun (1963)
  • Flight from Ashiya (1964)
  • Invitation to a Gunfighter (1964)
  • Morituri (1965)
  • Cast a Giant Shadow (1966)
  • The Poppy Is Also a Flower (1966)
  • Return of the Seven (1966)
  • Triple Cross (1966)
  • The Double Man (1967)
  • The Long Duel (1967)
  • Villa Rides (1968)
  • The Picasso Summer (1969)
  • The File of the Golden Goose (1969)
  • The Battle of Neretva (1969)
  • The Madwoman of Chaillot (1969)
  • The Magic Christian (1969)
  • Adiós, Sabata (1971)
  • The Light at the Edge of the World (1971)
  • Romance of a Horsethief (1971)
  • Catlow (1971)
  • Fuzz (1972)
  • Night Flight from Moscow (1973)
  • Westworld (1973)
  • The Ultimate Warrior (1975)
  • Death Rage (1976)
  • Futureworld (1976)

Filamu za Broadway

hariri
  • Twelfth Night (2 Desemba - 13 Desemba 1941)
  • The Moon Vine (11 Februari - 27 Februari 1943)
  • Lute Song (6 Februari - 8 Juni 1946)
  • The King and I (29 Machi 1951 - 20 Machi 1954)
  • Home Sweet Homer (4 Januari 1976)
  • The King and I (Revival) (2 Mei 1977 - 30 Desemba 1978)
  • The King and I (Revival) (2 Januari - 30 Juni 1985)

Marejeo

hariri
  1. http://mosnews.com/interview/2004/06/25/brynner.shtml Ilihifadhiwa 8 Machi 2006 kwenye Wayback Machine.
  2. http://www.elsur.cl/archivo/marzo2000/22marzo2000/elsur/despacho/opinion4.htm Ilihifadhiwa 30 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine.
  3. http://www.theatredb.com/QShow.php?sid=s1040 Ilihifadhiwa 5 Mei 2006 kwenye Wayback Machine.

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: