Zhan Vensanovych Beleniuk (kwa Kiukraina: Жан Венсанович Беленюк; pia kwa tafsiri nyingine Jean Vensanovitch Beleniouk; alizaliwa Kyiv, 24 Januari 1991) ni mtu wa Ukraina anayeshiriki michezo ya mieleka na pia ni mwanasiasa, ni mbunge Mweusi wa kwanza katika Bunge la Ukraina.[1][2]

Beleniuk akiwa na medali yake ya dhahabu katika Olimpiki ya Majira ya joto ya 2020
Beleniuk akiwa na medali yake ya dhahabu katika Olimpiki ya Majira ya joto ya 2020

Maisha ya Nyuma hariri

Mama yake ni kutoka nchini Ukraina na baba yake alikuwa rubani kutoka nchini Rwanda aliyekuwa anasoma Kyiv katika chuo kikuu cha taifa cha urubani na alifariki katika vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Rwanda.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zhan Beleniuk kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.