Kiukraine

Kiukreni
Kinazungumzwa nchini: Ukreni, Urusi, Kazakhstan, Moldova, Marekani, Kanada, Belarus, Ureno, Slovakia, Argentina, Kyrgyzstan, Latvia, Romania, Ulaya ya Magharibi, Croatia, Brazil
Waongeaji: Milioni 39
Daraja: 25
Lugha rasmi:
Nchi: Ukreni
Uainishaji wa kiisimu:
Slavic europe.png
Lugha za Kihindi-Kiulaya
   Lugha za Kislavoni
      Kislavoni cha Mashariki
         Kiukreni

Kiukreni (kwa Kiukreni: українська (мова), ukrajins'ka mova) ni lugha ya Kislavoni cha Mashariki, mojawapo katika familia ya Lugha za Kihindi-Kiulaya.

Uenezi wa Kiukreni duniani.
Kiukraine kinavyozungumzwa.

Kiukreni ni lugha ya pili inayozungumzwa zaidi katika orodha ya lugha za Kislavoni. Kuna waongeaji milioni 37 wanaoongea lugha hii nchini Ukraine, ambapo ni lugha rasmi. Wengi wa wenyeji wake lugha hii ni lugha mama. Kwa hesabu ya dunia nzima, kuna waongeaji wapatao milioni 47 wanaoongea lugha hii.

Lugha ya Kiukreni huandikwa kwa herufi za Kikyrili.

AlfabetiEdit

Alfabeti ya Kiukreni kwa tafsiri ya maelezo kuelekea Kijerumani:

Groß (HTML-Entity) Klein (HTML-Entity) wissenschaftliche
Transliteration
deutsche
Transkription
А (А) а (а) A a A a
Б (Б) б (б) B b B b
В (В) в (в) V v W w
Г (Г) г (г) H h H h
Ґ (Ґ) ґ (ґ) G g G g
Д (Д) д (д) D d D d
Е (Е) е (е) E e E e
Є (Є) є (є) Je je Je je
Ж (Ж) ж (ж) Ž ž Sch (Sh) sch (sh)
З (З) з (з) Z z S s
И (И) и (и) Y y Y y
І (І) і (і) I i I i
Ї (Ї) ї (ї) Ji ji Ji ji
Й (Й) й (й) J j 1 J j
К (К) к (к) K k K k (statt ks auch x)
Л (Л) л (л) L l L l
М (М) м (м) M m M m
Н (Н) н (н) N n N n
О (О) о (о) O o O o
П (П) п (п) P p P p
Р (Р) р (р) R r R r
С (С) с (с) S s S s (zwischen Vokalen auch ss)
Т (Т) т (т) T t T t
У (У) у (у) U u U u
Ф (Ф) ф (ф) F f F f
Х (Х) х (х) Ch ch Ch ch
Ц (Ц) ц (ц) C c Z z
Ч (Ч) ч (ч) Č č Tsch tsch
Ш (Ш) ш (ш) Š š Sch sch
Щ (Щ) щ (щ) Šč šč Schtsch schtsch (Stsch stsch)
ь (ь) ’ bzw. j 2 (Weichheitszeichen) (–) bzw. j
Ю (Ю) ю (ю) Ju Ju Ju ju
Я (Я) я (я) Ja ja Ja ja
’ (apostrophe)3 (–)

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiukraine kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.