Ziwa Manyara
3°35′S 35°50′E / 3.583°S 35.833°E
Ziwa Manyara ni moja kati ya maziwa ya Tanzania, la saba kwa eneo. Ukubwa wake ni Km² 470. Kina chake hakizidi mita 3.7.
Linapatikana kaskazini mashariki, katika Wilaya ya Babati, Mkoa wa Manyara.
Lipo ndani ya Bonde la Ufa la Afrika Mashariki na ndani ya hifadhi ya taifa likiwa kivutio kikubwa kwa watalii kutokana na wingi wa ndege aina ya korongo walio na mvuto mkubwa kwa kila mtu. Ndege hao huonekana kama pazia kubwa jeupe nyakati za mchana wanapokuwa ziwani kujipatia chakula na mapumziko.
Tazama pia
haririViungo vya nje
hariri- Lake Manyara at Tanzania Tourist Board (a government tourism agency) Archived 23 Januari 2009 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Manyara bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Manyara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|