Zorica Mršević (alizaliwa 7 Oktoba 1954) ni profesa wa Serbia, mwanasheria, mtafiti na mwanaharakati wa haki za binadamu.Mršević Anafanya kazi katika uwanja wa haki za binadamu na ufeministi, katika ngazi za ndani na kimataifa.[1]

Kazi hariri

Mršević Baada ya kuhitimu kutoka Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Belgrade mnamo 1977, alipata digrii ya LLM mnamo mwak 1983, ikifuatiwa na digrii ya PhD katika Sheria mnamo mwaka 1986 kutoka Chuo Kikuu cha Belgrade.[2]

Marejeo hariri

  1. "Fakultet za evopske pravno - političke studije". Iliwekwa mnamo 14 January 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Institut Drustvenih Nauka". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 14 January 2015.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zorica Mršević kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Viungo Vya Nje hariri