Mxolisi Mgingqeni Majozi [1] (anajulikana kama "Zuluboy"; alizaliwa 19 Mei 1976) mwigizaji na mwanamuziki wa KwaZulu-Natal, nchini Afrika Kusini. Amefanya kazi na wasanii maarufu wa hip hop wa Afrika Kusini kama vile PRO . [2]

Kazi hariri

Wimbo wake uliompa mafanikio ulikuwa ni "Nomalanga" kutoka kwenye albamu ya Inqolobane, ilitolewa mwaka 2008. [3] Alishinda tuzo ya rapa bora katika tuzo za Metro FM mwaka 2008. [4]

Katika Tuzo za Muziki za MTV Afrika mwaka 2009 aliteuliwa kama mwanamuziki bora wa Hip Hop. [5][6]

Marejeo hariri

  1. "Zuluboy biography | TVSA". TVSA. 
  2. "Talented Pro Hailed as Legend of SA hip hop". pressreader.com. 22 January 2014. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 February 2020. Iliwekwa mnamo 15 February 2020.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  3. "South african hip hop love songs". okayfrica. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 February 2020. Iliwekwa mnamo 15 February 2020.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  4. "Zuluboy—Afternoon Express". afternoonexpress.co.za. 15 February 2020. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 February 2020. Iliwekwa mnamo 20 November 2020.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  5. ""MTV Africa Music Awards Nominations Unveiled". Billaboard. August 26, 2009.  Check date values in: |date= (help)
  6. "Zuluboy kicked out of Ukhozi FM". SowetanLIVE (kwa en-ZA). Iliwekwa mnamo 2023-02-26. 
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zuluboy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.