Šiprage
Šiprage (kwa Kikroatia: Šiprage; kwa Kisirili: Шипраге) ni mji wa Bosnia na Herzegovina . Mwaka 2003 ilikuwa na wakazi lakhi tatu.
Mji uko kando ya mto Vrbanje kwenye bonde la milima ya Dinari.
Šiprage ina sifa ya ushirikiano mwema kati ya watu wa dini na madhehebu mbalimbali kwa karne nyingi. Kuna misikiti ya Kiislamu na makanisa.
Lakini mwisho wa karne ya 20 Bosnia iliingia katika vita iliyosababishwa na kusambaratika kwa Yugoslavia na suala la mipaka ya Serbia.
Sehemu za Šiprage ziliharibiwa na kujengwa upya.
Bosnia ilikuwa mahali ambako uuaji wa mfalme mteule wa Austria-Hungaria tarehe 28 Juni 1914 yalisababisha Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia.
Tabia nchi
haririØ t° (°C) |
Min. t° (°C) |
Max. t° (°C) |
↓↓↓ (mm) | |
I | –1,7 | –4,8 | 1,4 | 59 |
II | 0,3 | –3,6 | 4,2 | 63 |
III | 4,6 | –0,1 | 9,3 | 59 |
IV | 9,1 | 3,9 | 14,3 | 74 |
V | 13,6 | 8,1 | 19,2 | 90 |
VI | 17,2 | 11,5 | 22,9 | 99 |
VII | 18,9 | 12,6 | 25,3 | 81 |
VIII | 18,4 | 11,9 | 24,9 | 76 |
IX | 14,7 | 8,6 | 20,9 | 71 |
X | 9,5 | 4,7 | 14,4 | 79 |
XI | 4,4 | 1,0 | 7,8 | 100 |
XII | 0,1 | –2,7 | 3,0 | 88 |
Idadi ya watu
haririPicha
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- http://www.maplandia.com/bosnia-and-herzegovina/republika-srpska/siprage/ Maplandia
- http://www.satellitecitymaps.com/europe-map/bosnia-and-herzegovina-map/federation-of-bosnia-and-herzegovina-map/%C5%A1iprage-map/
- http://www.distancesfrom.com/distances-in-%C5%A0iprage/6308019.aspx
- http://www.kartabih.com/
44°27′58″N 17°33′36″E / 44.466°N 17.560°E
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Šiprage kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |