Abda na Ebediesi

maaskofu Wakristo waliouawa

Abda na Ebediesi (walifia dini Kashkar nchini Uajemi, 16 Mei 375 hivi) walikuwa maaskofu waliouawa kwa kukatwa kichwa pamoja na wenzao 38 kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya Shapur II[1].

Wenzao walikuwa mapadri 16, mashemasi 9, wamonaki 6 na mabikira 7.

Mapadri waliitwa:

  • Abdallah
  • Simeoni
  • Abrahamu
  • Abda
  • Ajabel
  • Yosefu
  • Han
  • Ebedjesu
  • Abdallah
  • Yohane
  • Ebedjesu
  • Maris
  • Berhadbeshaba
  • Rozicheus
  • Abdallah
  • Ebedjesu

Mashemasi waliitwa:

  • Eliabu
  • Ebedjesu
  • Marjabu
  • Maris
  • Abdia
  • Berhadbeshaba
  • Han
  • Simeoni
  • Maris

Wengine watatu tu wanajulikana kwa jina; ni wamonaki:

  • Papa
  • Evolesus
  • Ebedjesu

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 16 Mei[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • Holweck, F. G. A Biographical Dictionary of the Saints. St. Louis, MO: B. Herder Book Co., 1924.
  • Fr. Joseph Irvin Vespers: Orthodox Service Books - Number 6. Lulu Press, Inc, 28 September 2017.
  • Fr. Joseph Irvin The Divine Liturgy of St. John Chrysostom: Orthodox Service Books - Number 1, Lulu Press, Inc, 8 July 2017.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.