Abrahamu wa Faiyum
Abrahamu wa Faiyum (1829 – 10 Juni 1914) alikuwa mmonaki, halafu askofu wa Faiyum na Giza, maarufu kama Rafiki wa fukara[1][2].
Mwaka 1964, Sinodi ya Kanisa la Kikopti ilimtangaza mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ "Lives of Saints :: Paona 3". www.copticchurch.net. Iliwekwa mnamo 2018-03-14.
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/98841
Viungo vya nje
hariri- Online e-Book: St. Anba Abram the Departed Bishop of Fayoum "Friend of the Poor" (1829-1914 A.D.) - Includes Part I: His Life & Part II: Wonders and Miracles - Written by William A. Hanna, Ph.D. (Format: PDF - 790 KB)
- Another e-Book about Anba Abram, the Friend of the Poor, by Rev. Fr. Tadros Y. Malaty (Format: PDF - 646 KB)
- https://web.archive.org/web/20050819132516/http://www.copticchurch.org/English_spiritual_articles/AnbaAbraam.htm
- Saint (Anba) Abram Museum: An Album of the Contents of the Museum of The Departed Bishop of Fayoum; The Monastery of St. Mercurius known as 'Deir AL-Azab' Fayoum, Egypt (Format: PDF - 1.17 MB)
- The Coptic Orthodox Diocese of El-Fayoum/Anba Abram Monastery, Egypt (most content in Arabic)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |