Achraf Hakimi
Mchezaji wa soka wa Moroko wa mpira miguu (alizaliwa 1998)
Achraf Hakimi Mouh (anajulikana kama Achraf; alizaliwa Madrid, Hispania, 4 Novemba 1998 [1][2]) ni mchezaji wa soka wa Moroko ambaye anacheza kama beki wa kati kwenye klabu ya Ufaransa inayoitwa Paris Saint-Germain na timu ya taifa ya Moroko.
Achraf Hakimi
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Hispania, Moroko |
Nchi anayoitumikia | Moroko, Hispania |
Jina katika lugha mama | Achraf Hakimi |
Jina la kuzaliwa | Achraf Hakimi |
Jina halisi | Achraf |
Tarehe ya kuzaliwa | 4 Novemba 1998 |
Mahali alipozaliwa | Madrid |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kihispania, Moroccan Darija, Kifaransa, Kiingereza |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | full-back |
Muda wa kazi | 2016 |
Mwanachama wa timu ya michezo | Paris Saint Germain F.C. |
Dini | Uislamu |
Mchezo | mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 2 |
Ameshiriki | Kombe la Dunia la FIFA 2018, 2019 Africa Cup of Nations, Kombe la Mataifa ya Afrika 2021, 2018 FIFA World Cup qualification, 2022 FIFA World Cup qualification (CAF) |
Tuzo iliyopokelewa | Officer of the Order of the Throne |
Achraf Hakimi ndiye mchezaji aliyepiga penati ya mwisho na kuisaidia timu yake ya Moroko kutinga hatua ya robo fainali baada ya kuitoa Hispania huko Qatar mnamo 6 Desemba, 2022.
Marejeo
hariri- ↑ "Achraf Hakimi". Paris Saint-Germain F.C. Iliwekwa mnamo 6 Agosti 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "FIFA Club World Cup UAE 2017: List of players: Real Madrid CF" (PDF). FIFA. 16 Desemba 2017. uk. 5. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 23 Desemba 2017. Iliwekwa mnamo 24 Desemba 2017.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help); More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Achraf Hakimi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |