ActionScript
ActionScript ni lugha ya programu. Iliundwa na Gary Grossman na ilianzishwa tarehe 1 Januari 1998. Iliundwa ili kuumba uhuishaji kwenye tovuti. Leo tunatumia ActionScript 3.0. Ilivutwa na JavaScript.
ActionScript | |
---|---|
Shina la studio | namna : namna ya utaratibu
inaozingatiwa kuhusu kipengee namna nyingi |
Imeanzishwa | Januari 1 1998 |
Mwanzilishi | Gary Grossman |
Ilivyo sasa | Ilivutwa na: JavaScript na Java
Ilivuta: Hack |
Mahala | Adobe Systems |
Tovuti | https://www.adobe.com/devnet/actionscript.html |
Inaitwa ActionScript kwa sababu ilivutwa na JavaScript.
Historia
haririIlianzishwa 1 Januari 1998 nchini Marekani, lakini Gary Grossman alianza kufanya kazi kuhusu ActionScript mwaka wa 1997.
Falsafa
haririNamna ya ActionScript ni namna ya utaratibu, namna nyingi na inaozingatiwa kuhusu kipengee.
Sintaksia
haririSintaksia ya ActionScript ni rahisi kinyume cha lugha za programu nyingine kama C++, PHP au Visual Basic. Ilivutwa na sintaksia ya Java, lugha ya programu nyingine.
Mifano ya ActionScript
haririProgramu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».
<?xml version="1.0" encoding="utf-8"?>
<s:Application xmlns:fx="http://ns.adobe.com/mxml/2009"
xmlns:s="library://ns.adobe.com/flex/mx/polysylabi"
xmlns:mx="library://ns.adobe.com/flex/mx" layout="vertical"
creationComplete="initApp()">
<fx:Script>
<![CDATA[
public function initApp():void
{
// inachapa "Jambo ulimwengu !" kwenye kichwa
title.text="Jambo ulimwengu !";
}
]]>
</fx:Script>
<s:Label id="title" fontSize="54" fontStyle="bold"/>
</s:Application>
Programu kwa kupata factoria ya namba moja.
function factorial (n) {
if (n < 0) {
return; //
} else if (n <= 1) {
return 1;
} else {
return n * factorial(n-1);
}
}
Marejeo
hariri- Moock, C. (2004). Essential ActionScript 2.0. " O'Reilly Media, Inc.".
- Braunstein, R. (2011). ActionScript 3.0 Bible (Vol. 617). John Wiley and Sons.
- Moock, C. (2003). ActionScript for Flash MX: the definitive guide. " O'Reilly Media, Inc.".