Ada wa Le Mans
Ada wa Le Mans (pia: Adeneta, Adna, Adnetta, Adonette, Adbechild, Adrehildis; aliishi karne ya 7 hivi) alikuwa abesi wa monasteri karibu na Le Mans, leo nchini Ufaransa [1][2][3][4].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Dunbar, Agnes B.C. (1901). A Dictionary of Saintly Women. Juz. la 1. London: George Bell & Sons. uk. 2.
- ↑ Delaney, John J. (2005). Dictionary of Saints (tol. la 2nd). New York: Image/Doubleday. uk. 6. ISBN 978-0-385-51520-7. OCLC 58724402.
- ↑ "December 4". Latin Saints of the Orthodox Patriarchate of Rome. Iliwekwa mnamo 7 Oktoba 2024.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/59950
- ↑ Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |