Adaku Okoroafor
Mchezaji soka wa Nigeria
Adaku Okoroafor (alizaliwa 18 Novemba 1974) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambae anacheza kama mshambuliaji wa timu ya taifa ya Nigeria. Alishiriki na timu ya taifa katika uzinduzi wa Kombe la Dunia la FIFA la 1991 na Kombe la Dunia la Wanawake la FIFA 1995.[1]
Adaku Okoroafor
Jinsia | mwanamke |
---|---|
Nchi ya uraia | Nigeria |
Nchi anayoitumikia | Nigeria |
Jina katika lugha mama | Adaku Okoroafor |
Jina rasmi | Adaku Okoroafor |
Tarehe ya kuzaliwa | 18 Novemba 1974 |
Lugha ya asili | Kiigbo |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kiingereza, Kiigbo, Nigerian Pidgin |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Forward (association football) |
Eye color | brown |
Rangi ya nywele | black hair |
Mchezo | mpira wa miguu |
Marejeo
hariri- ↑ "FIFA Women's World Cup Sweden 1995 - Teams". FIFA Women's World Cup Sweden 1995. FIFA. 1995. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 Julai 2015. Iliwekwa mnamo 2007-09-28.
{{cite web}}
: More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Adaku Okoroafor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |