Adelina, O.S.B. (kwa Kifaransa Adeline; karne ya 111125 hivi) alikuwa abesi wa kwanza wa monasteri ya Kibenedikto iliyoanzishwa huko Mortain kwa kufuata mtindo wa kaka yake, Vitali wa Savigny [1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Oktoba[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.