Adolfo wa Arras (pia: Hadulfus; Arras, Pas-de-Calais, karne ya 719 Mei 728) alikuwa askofu wa 9 au 10[1] wa mji huo (leo nchini Ufaransa) kuanzia mwaka 717 baada ya kuwa abati wa monasteri katika mji huohuo. [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Mei[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Duchesne, Fastes épiscopaux, III, p. 108, riga 11; p. 109, riga 10.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/53980
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.