Agata Lin Zhao (1817 hivi - Maokou 28 Januari 1858) alikuwa mwanamke mlei katekista wa China aliyefia Ukristo kwa kukatwa kichwa.

Picha takatifu ya Wafiadini Waorthodoksi wa China.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, ila ya kwake mwenyewe tarehe 28 Januari[1].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.