Agatoniki, Zotiki na wenzao

Agatoniki, Zotiki na wenzao (walifariki Silivri, leo nchini Uturuki, na sehemu nyingine za Thrakia karne ya 3[1]) walikuwa Wakristo waliofia dini yao hiyo wakati wa dhuluma ya Dola la Roma[2][3].

Kati ya wenzao wanatajwa Teoprepi, Achindini, Severiani, Zenoni, Vikta, Sesarei, Kristofa, Teona na Antonini[4].

Tangu kale wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 21 Agosti[5] au 22 Agosti.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. "Lives of all saints commemorated on August 22". Orthodox Church in America. Iliwekwa mnamo 20 Desemba 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Pétridès, Sophrone. "Selymbria." The Catholic Encyclopedia. Vol. 13. New York: Robert Appleton Company, 1912. 19 Dec. 2012
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/67060
  4. Brady, John. "Orthodox Saints for August". God is Wonderful in His Works: Orthodox Resources. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-11-03. Iliwekwa mnamo 20 Desemba 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.