Agileus (alifariki Karthago, leo nchini Tunisia, 300 hivi) alikuwa Mkristo aliyeuawa kwa ajili ya imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian.

Augustino wa Hippo alitoa hotuba moja juu yake.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Januari[1][2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.