Alaba Jonathan

Mwanasoka wa Nigeria

Alaba Jonathan (alizaliwa 1 Juni 1992 Calabar, Nigeria) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria. Jonathan ni mchezaji wa timu ya taifa ya Nigeria na amecheza mara moja katika timu hiyo. Jonathan aliiwakilisha nchi yake kama golikipa wa tatu katika Kombe la Dunia la FIFA la 2011 nchini Ujerumani. Hapo awali mwaka 2010 alishiriki katika Kombe la Dunia la chini ya umri wa miaka 20.[1]

Alaba Jonathan
binadamu
Jinsiamwanamke Hariri
Nchi ya uraiaNigeria Hariri
Jina halisiAlaba Hariri
Jina la familiaJonathan Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa1 Juni 1992 Hariri
Mahali alipozaliwaCalabar Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKiingereza, Nigerian Pidgin Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timugoalkeeper Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoNigeria women's national football team, Nigeria women's national under-20 football team, Pelican Stars F.C., Nigeria national under-20 football team, Bayelsa Queens Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Ameshiriki2019 FIFA Women's World Cup Hariri

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alaba Jonathan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.