Diskografia ya Christina Milian

Diskografia ya Christina Milian ni orodha ya nyimbo na albamu za mwimbaji na mtunzi - mwigizaji kutoka nchini Marekani, almaarufu kama Christina Milian. Orodha hii imekusanya albamu zake tatu, zikiwa sambamba kabisa na single zake saba pamoja na nyimbo mchanganyiko za mwanadada huyu.

Christina Milian

Albamu zake

hariri

Albamu za studio

hariri
Mwaka Albamu Nafasi iliyoshika Mauzo/Matunukio
WW US UK FRA JP
2001 Christina Milian 23 19
  • BPI imetunukiwa: Platinamu
2004 It's About Time 31 14 21 83 11
  • Tunu za BPI: Silver
  • Mauzo ya US: 382,000
  • Mauzo ya UK: 60,000
2006 So Amazin' 27 11 67 123 9
  • Mauzo ya US: 163,000
  • Dunia nzima: 520,000

Kompilesheni zake

hariri
Mwaka Albamu Chati ilizoshika Mauzo/kutunukiwa
WW U.S. UK FRA JP
2006 Best Of 29
  • Dunia nzima: 38,078

Single zake

hariri
Mwaka Jina la single Chati iliyoshika Albamu
UWC U.S.[1] U.S. R&B U.S. Dance UK IRE AUS GER NET NZ SWI
2001 "AM To PM" 17 27 58 13 3 6 25 54 8 28 Christina Milian
"When You Look At Me" 22 3 5 7 13 3 31
2002 "Get Away"
2004 "Dip It Low" (akimshirikisha Fabolous) 12 5 16 1 2 11 31 17 7 7 11 It's About Time
"Whatever U Want" (akimshirikisha Joe Budden) 100 91 6 9 16 51 20 27
2006 "Say I" (akimshirikisha Young Jeezy) 19 21 13 4 4 15 25 38 74 23 23 So Amazin'
2008 "Us Against The World" TBA
Single Zingine
2000 "Between Me And You" (akiwa na Ja Rule) 11 5 26 48 Rule 3:36
2001 "It's All Gravy" (akiwa na Romeo) 4 Solid Love

Video zake

hariri
Mwaka Wimbo Waongozaji
2001 "AM To PM" Dave Meyers
"When You Look At Me" Billie Woodruff
2002 "Get Away" Little X
2004 "Dip It Low" Matthew Rolston
"Whatever U Want" Ray Kay
2006 "Say I"

Kazi zingine

hariri

Albamu alizopata kuonekana

hariri
  • 2000: "Between Me & You" ya Ja Rule- Rule 3:36
  • 2001: "Call Me, Beep Me (The Kim Possible Theme Song)" (akiwa na Christy Carlson Romano; kutoka katika Kibwagizo cha Kim Possible)
  • 2001: "Play" (alipiga sauti ya nyumba akiwa na Jennifer Lopez; kutoka katika J. Lo)
  • 2002: "I Hear Santa On The Radio" (kutoka katika albamu ya kwanza ya Hilary Duff ya Christmas na albamu moja ya "Santa Claus Lane")

Vibwagizo alivyopata kuonekana

hariri

Mwonekano wake katika Tepu mchanganyiko

hariri

Nyimbo alizopata ushirika wa kuzitunga

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Billboard.com - Artist Chart History - Christina Milian". Nielsen Company, Billboard magazine. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-27. Iliwekwa mnamo 2008-06-09.
  2. 2.0 2.1 "Christina Milian". MTV. MTV Networks. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-02-24. Iliwekwa mnamo 2008-02-24.
  3. "Paula DeAnda - Walk Away (Remember Me)". Music Videos and Lyrics - Music Lovers Group. Music Lovers Group.com. Iliwekwa mnamo 2008-02-24.