Alberti Chmielowski

Albert Chmielowski, C.F.A.P.U. (Igołomia, Dola la Russia, 1845Krakow, Austria-Hungaria, 1916) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki katika Polandi ya leo aliyeanzisha shirika la Mabradha na Masista Waalberti.

Bradha Albert, "Ndugu wa Mungu wetu".

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Juni 1983, halafu mtakatifu tarehe 12 Novemba 1989.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Desemba[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Picha hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.