Alberti wa Louvain

Alberti wa Louvain (Louvain, leo nchini Ubelgiji, 1166 hivi – Reims, Champagne-Ardenne, Ufaransa, 24 Novemba 1192) alikuwa kwa miezi michache askofu wa Liège (leo nchini Ubelgiji) na kardinali hadi alipouawa bado kijana kwa kutetea uhuru wa Kanisa dhidi ya serikali iliyokuwa imeshampeleka uhamishoni [1].

Mtemi Alberti akiwa na somo wake Mt. Alberti, mchoro wa Reubens, 1640.

Alitangazwa na Papa Paulo V kuwa mtakatifu mfiadini tarehe 9 Agosti 1613.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. The Vita Alberti episcopi Leodiensis was probably written around 1194 or 1195 by an anonymous monk of Lobbes, from information supplied by Abbot Werrich, who knew Albert well. Although a panegyric for the murdered bishop, Raymond H. Schmandt considers it generally accurate. A different viewpoint is found in the Chronicon Hanoniense of Gislebert of Mons, written shortly after 1196.
  2. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.