Alberto wa Montecorvino

Alberto wa Montecorvino (Sant'Elia a Pianisi, Italia Kusini, 1031/1032 - Montecorvino, Italia Kusini, 5 Aprili 1127) anakumbukwa kama askofu wa Montecorvino kwa miaka mingi.

Alitumia maisha yake yote katika kusali mfululizo na kusaidia maskini[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Aprili[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/48570
  2. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.