Alkibiades

(Elekezwa kutoka Alcibiades)

Alkibiades, mwana wa Kleinias (Ἀλκιβιάδης, mnamo 450 KK - 404 KK) alikuwa mwanasiasa, mhutubu na mwanajeshi mashuhuri kutoka mjini Athini katika Ugiriki ya Kale. Alikuwa na majukumu muhimu wakati wa Vita ya Peloponesi kati ya Sparta na Athini.

Alkibiades akifundishwa na Sokrates (taswira ya François-André Vincent (1746–1816))

Maisha hariri

Alizaliwa katika familia tajiri. Mwanafalsafa Sokrates alikuwa mwalimu wake.[1]

Wakati wa vita ya Peloponesi Alkibiades alibadilisha utii wake wa kisiasa mara kadhaa. Kwake nyumbani Atheni alipigania sera za kigeni Zza kushambulia pamoja na kampeni dhidi ya miji ya Sisilia mnamo 415 KK. Alipokosolewa na kushtakiwa baada ya kampeni hiyo akakimbilia Sparta alipokuwa mshauri wa maadui wa Athini. Baada ya kupata maadui Sparta pia aliendelea kukimbia hadi Milki ya Uajemi. Baadaye marafiki zake wa Athini waliomba arudi, hivyo akarudi akaongoza tena jeshi la Athini katika mapigano dhidi ya Sparta.

Baada ya kushinda, wapinzani waliogopa atapata mamlaka kubwa mno akaamriwa kuondoka mjini Athini. Alikimbilia tena Milki ya Uajemi. Huko aliuawa mwaka 404 KK na askari Waajemi, wengine wanasema kufuatana na maombi ya viongozi wa Sparta.

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

    • "Alcibiades was an Athenian general in the Peloponnesian War". Bingley. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-02-12. Iliwekwa mnamo 2021-03-10. 
    • "Alcibiades". Endres, Nikolai. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 September 2006. Iliwekwa mnamo 22 September 2006.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
    • "Alcibiades: Aristocratic Ideal or Antisocial Personality Disorder". Evans, Kathleen. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 August 2006. Iliwekwa mnamo 5 August 2006.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
    • "Alcibiades". Meiggs, Russell. Iliwekwa mnamo 5 August 2006.  Check date values in: |accessdate= (help)
    • "Alcibiades". Prins, Marco-Lendering, Jona. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 31 August 2006. Iliwekwa mnamo 5 August 2006.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
    • "Alcibiades". The Columbia Encyclopedia, Sixth Edition. 2001–05. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-02-22. Iliwekwa mnamo 5 August 2006.  Check date values in: |accessdate= (help)
      • "Good Man, Bad Man, Traitor: Aspects of Alcibiades". Arcan, Gabriela. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 September 2006. Iliwekwa mnamo 5 August 2006.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
      • "Thucydides and Civil War: the Case of Alcibiades". Faulkner, Robert. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo July 5, 2007. Iliwekwa mnamo 5 August 2006.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
      • "Survie d'un lion: Alcibiade". Loicq-Berger, Marie-Paule. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 August 2006. Iliwekwa mnamo 22 September 2006.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
      • "Alcibiades and the Sicilian Expedition". Rubio, Alexander G. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-09-27. Iliwekwa mnamo 5 August 2006.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)
      • "Plato, Thucydides, and Alcibiades". Syse, Henrik. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo July 5, 2007. Iliwekwa mnamo 5 August 2006.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)