Aleksanda wa Filomelio na wenzake
Aleksanda wa Filomelio na wenzake askari 30 (walifariki Filomelio, Frigia, leo nchini Uturuki, karne ya 4) walikuwa Wakristo waliouawa kwa imani yao chini ya Magnus, liwali wa Antiokia wa Pisidia [1].
Hao wote walianza kuheshimiwa mapema kama watakatifu na wafiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |