Aleksi Falconieri

(Elekezwa kutoka Alessio de' Falconieri)

Aleksi Falconieri (Firenze, Italia, 1200 hivi - Monte Senario, Italia 17 Februari 1310) alikuwa mmojawapo[1] kati ya waanzilishi saba wa shirika la Watumishi wa Maria[2].

Aleksi Falconieri.

Alitangazwa na Papa Klementi XI kuwa mwenye heri tarehe 1 Desemba 1717, halafu Papa Leo XIII alimtangaza mtakatifu pamoja na wenzake tarehe 15 Januari 1888.

Sikukuu yao inaadhimishwa kila tarehe 17 Februari[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • Legenda de origine Ordinis fratrum Servorum Virginis Mariae auctore incerto 1317, a cura di Agostino M. Morini, OSM in: Monumenta Ordinis Servorum Sanctae Mariae (M.O.S.), I, Bruxelles 1897, pp. 60-106.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.