Alexander Borodin
Alexander Borodin (12 Novemba 1833 – 27 Februari 1887) alikuwa mtungaji wa muziki kutoka nchi ya Urusi. Baadhi ya muziki nyingi alitunga muziki ya simfoni.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alexander Borodin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |