Mikhail Glinka
Mikhail Ivanovich Glinka (Kirusi: Михаи́л Ива́нович Гли́нка) (1 Juni 1804 – 15 Februari 1857) alikuwa mtunzi wa Opera wa kwanza kutambulika zaidi kwa nchi ya Urusi. Huyu mara nyingi hutazamika kama baba wa muziki wa klasiki kwa nchi ya Urusi.
Viungo vya nje
hariri- Cylinder recording of a Glinka composition, from the Cylinder Preservation and Digitization Project at the en:University of California, Santa Barbara Library.
- Glinka — the author of Russian national anthem Archived 19 Julai 2011 at the Wayback Machine. in Russian. by K.Kovalev Archived 13 Januari 2020 at the Wayback Machine. - Eng.
- Leicestershire Schools Symphony Orchestra performs Russlan and Ludmilla overture A short video from 1998
- Mikhail Glinka ame orodheshwa katika International Music Score Library Project
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mikhail Glinka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |