Felix Mendelssohn
Jakob Ludwig Felix Mendelssohn Bartholdy, anafahamika zaidi kama Felix Mendelssohn (3 Februari 1809 – 4 Novemba 1847) alikuwa mtunzi wa Opera, mpigaji kinanda na mwelekezi maarufu kutoka nchini Ujerumani. Huyu nae alikuwa mmoja kati ya watunzi mashuhuri wa kipindi cha Romantic.
Viungo vya nje
hariri- Felix Mendelssohn House and Foundation, Leipzig Archived 27 Machi 2008 at the Wayback Machine.
- Some info about the Mendelssohn's Violin Concerto Archived 16 Januari 2006 at the Wayback Machine. at violinmp3.com
- Shughuli au kuhusu Felix Mendelssohn katika maktaba ya WorldCat catalog
- The Mendelssohn Project A project with the objective of "recording of the complete published and unpublished works of Felix and Fanny Mendelssohn".
- Complete recording of Songs without Words Archived 23 Aprili 2008 at the Wayback Machine. by Daniel Gortler
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Felix Mendelssohn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |