Vincenzo Bellini
Vincenzo Bellini (3 Novemba 1801 - 23 Septemba 1835) alikuwa mtunzi aliyemaarufu kwa Opera kutoka nchi ya Italia. Alikuwa mmoja kati ya watunzi muhimu wa Opera kwa karne ya 19. Aliwapatia waimbaji wake ala nzuri za kuimba na huku mwenyewe akiwa anatoa msaada wake wa kibendi.
Viungo vya nje
hariri- Profile of Bellini Ilihifadhiwa 11 Novemba 2006 kwenye Wayback Machine.
- Biography of Bellini Ilihifadhiwa 13 Novemba 2006 kwenye Wayback Machine.
- Bellini cylinder recordings, from the Cylinder Preservation and Digitization Project at the University of California, Santa Barbara Library.
- Free scores by Vincenzo Bellini katika Werner Icking Music Archive (WIMA)
- Teatro Massimo Bellini, Catania
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vincenzo Bellini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |