Edward Elgar
Sir Edward William Elgar (2 Juni 1857 - 23 Februari 1934) alikuwa mtunzi maarufu wa Opera kutoka nchini Uingereza.
Maisha
haririBaba wa Elgar alikuwa akimiliki duka la kuuza vyombo vya muziki.
Mbali na kusomea mambo ya kupiga zeze la kizungu, yaani "violin", Elgar pia alijifunza mwenyewe namna ya kufanya muziki. Pia alijifunza namna ya kuchapisha-kuandika muziki katika duka la baba yake na mara nyingi walikuwa wakisafiri pamoja alipokuwa akienda kuseti vinanda kwa wateja walionunua.
Mwaka wa 1904 alipewa cheo cha "Sir" cha Uingereza.
Mwaka wa 1924 alitangazwa kuwa Mkuu wa Muziki wa Mfalme ("Master of the King's Music").
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
- The Elgar Society and The Elgar Foundation Ilihifadhiwa 3 Juni 2008 kwenye Wayback Machine.
- The Elgar Birthplace Museum
- Sir Edward Elgar, Bt (1857-1934), Composer Ilihifadhiwa 5 Mei 2008 kwenye Wayback Machine. (National Portrait Gallery)
- Sir Edward Elgar-Britannica
- Edward Elgar ame orodheshwa katika International Music Score Library Project
- Free scores by Edward Elgar katika Choral Public Domain Library (ChoralWiki)
- Free scores na Edward Elgar kwenye Werner Icking Music Archive (WIMA)
- Claines Church where Elgar's maternal grandparents are buried
- A detailed chronology of Elgar's works with information and articles to all works, by The Elgar Society Ilihifadhiwa 5 Aprili 2008 kwenye Wayback Machine.
- Newsreel film Ilihifadhiwa 17 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine. of Elgar speaking, then conducting the trio of his Pomp and Circumstance Machi No 1 at the opening of EMI's Abbey Road studios, 12 Novemba 1931
- Elgar's Ave, Maria and Give unto the Lord Ilihifadhiwa 24 Julai 2008 kwenye Wayback Machine. Free downloadable recording from Coro Nostro, Leicester
- Elgar's life and recordings
- Nimrod Tippett rehearses the Leicestershire Schools Symphony Orchestra
- Cockaigne Tippett rehearses the Leicestershire Schools Symphony Orchestra
- YouTube Julian Lloyd Webber plays Elgar's Cello Concerto
- 'The Growing Significance of Elgar' Ilihifadhiwa 28 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine., lecture by Simon Mundy given at Gresham College on 29 Juni 2007
- Spetchley Park where Elgar often stayed and composed, specifically the Dream of Gerontius
- Flickr images tagged Elgar & Spetchley
- Films of Elgar: black and white silent movies 1. Elgar conducting; 2. & 3. Elgar with his dogs Marco and Mina; 4. Outside Hereford Cathedral (can you lip read?); 5. Kite flying in the Malvern Hills
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Edward Elgar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |