Alexis Sanchez
Alexis Sanchez (amezaliwa tarehe 19 Desemba, 1988) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchi ya Chile.
Alexis Sanchez
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Chile |
Nchi anayoitumikia | Chile |
Jina katika lugha mama | Alexis alejandro sanchez sanchez |
Jina la kuzaliwa | Alexis Alejandro Sánchez Sánchez |
Jina halisi | Alexis |
Jina la familia | Sánchez |
Tarehe ya kuzaliwa | 19 Desemba 1988 |
Mahali alipozaliwa | Tocopilla |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kihispania |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | wing half |
Mwanachama wa timu ya michezo | Udinese Calcio |
Rangi ya nywele | black hair |
Mchezo | mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 7 |
Ligi | Seria A |
Represented by | Fernando Felicevich |
Alianza kucheza klabu ya Barcelona F.C. kabla ya kusajiliwa na klabu iliyoko Uingereza iitwayo Arsenal kabla ya kusajiliwa na wababe wa Old Trafford. Mpaka sasa Alexis anaichezea timu ya Manchester United, ila aliondoka kuelekea italia kujiunga na lnternazionale kwa mkopo.
Alexis Sanchez alianza kucheza mpira nyumbani kwao Tocopila (Chile) kabla ya kusajiliwa na Colocolo ya nyumbani kwao.
Baadae alisajiliwa na Udinese ya Italia kabla ya kupelekwa kwa mkopo huko River Plate ya Argentina.
Alirejea Udinese kabla ya kusajiliwa na Barcelona.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alexis Sanchez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |