Alfredo Di Stefano
Mchezaji wa soka wa Hispania
Alfredo Di Stefano (4 Julai 1926 - 7 Julai 2014) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Argentina na timu ya klabu ya Real Madrid aliyecheza katika nafasi ya mshambuliaji.
Alfredo Di Stefano
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Argentina, Hispania, Kolombia |
Nchi anayoitumikia | Argentina, Hispania, Kolombia |
Jina la kuzaliwa | Alfredo Stéfano Di Stéfano Laulhé |
Jina halisi | Alfredo |
Jina la familia | Di Stefano |
Pseudonym | La Saeta Rubia |
Tarehe ya kuzaliwa | 4 Julai 1926 |
Mahali alipozaliwa | Buenos Aires |
Tarehe ya kifo | 7 Julai 2014 |
Mahali alipofariki | Madrid |
Chanzo cha kifo | natural causes |
Sababu ya kifo | Shtuko la moyo |
Sehemu ya kuzikwa | Almudena Cemetery |
Mwenzi | Sara Freites |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kihispania |
Kazi | association football player, association football manager |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Forward (association football) |
Muda wa kazi | 15 Julai 1945 |
Mchezo | mpira wa miguu |
Ameshiriki | 1947 South American Championship |
Alifanikiwa kuchukua tuzo ya Ballon d'Or mara mbili mwaka 1957 na mwaka 1959, pia alipigwa kura na kuwa mtu wa nne katika kura za mchezaji bora wa karne ya 20 nyuma ya Pele, Diego Maradona na Johan Cruyff.
Alifariki kwa ugonjwa wa moyo.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alfredo Di Stefano kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |