Almaki wa Roma
Almaki wa Roma (kwa Kilatini: Almachius, Almachus, pia: Telemachus; alifariki 391/404) alikuwa mmonaki kutoka Mashariki aliyetaka kuzuia mchezo wa kuuana katika uwanja wa michezo wa Roma, Italia, ila umati ulimuua kwa kumpiga mawe[1].
Hata hivyo, kaisari Honorius aliguswa na ushujaa na hoja zake akakataza michezo hiyo.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Viungo vya nje
hariri- Telemachus: The Monk Who Ended the Coliseum Games
- January 1, 404: Telemachus Martyred Attempting to Stop a Gladiator Fight | Church History Timelines Archived 27 Februari 2020 at the Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |