Amato wa Nusco (Nusco, Campania, Italia, 1003 - Nusco, 1093) alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo wa Italia Kusini kuanzia mwaka 1048[1][2].

Sehemu ya sanamu yake.

Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Septemba[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.