Ambrosi wa Agaune (alifariki 520 hivi) alikuwa abati wa monasteri ya Île-Barbe, karibu na Lyon, Ufaransa, halafu wa ile ya Agaune, leo Saint-Maurice-en-Valais nchini Uswisi, alipoanzisha desturi ya kumsifu Mungu mfululizo.[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Novemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Helvetia Sacra
    • Section I : Archevêchés et Évêchés. Volume 5 : Archidiocèses et diocèses V. Le diocèse de Sion. L'archidiocèse de Tarentaise, rédaction Patrick Braun, Brigitte Degler-Spengler, Elsanne Gilomen-Schenkel, Basel, 2001.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.