Anastasi Dobi (Aquileia, leo nchini Italia, karne ya 3 - Salona, leo Solin nchini Kroasya, 304) alikuwa dobi huko Salona alipouawa kwa kutoswa baharini katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano wa Dola la Roma kwa sababu ya kudhihirisha imani yake ya Kikristo[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 26 Agosti[2][3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.