Anastasi balozi
Anastasi balozi (alifariki Tzager, Kaukazi, 662) alikuwa padri aliyetumwa na Papa kama balozi wake huko Mashariki.
Alipelekwa uhamishoni pamoja na Maksimo Muungamadini kwa sababu ya kutetea imani sahihi. Huko alifariki wakati wa Liturujia ya Kimungu, akialika waumini kupokea ekaristi kwa maneno «Matakatifu kwa watakatifu».[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi na wengineo kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |