Andoki, Tirso na Felisi

Andoki, Tirso na Felisi (walifariki Seaulieu, karibu na Autun, leo nchini Ufaransa) ni Wakristo waliouawa kwa ajili ya imani yao[1].

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Septemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.