Angadrisma (pia: Angadrême, Angadresima, Angadreme, Angradesma, Andragasyna; Thérouanne, Ufaransa karne ya 7 - Beauvais, Ufaransa, 695 hivi), alikuwa mwanamke aliyeongoza kama abesi monasteri ya Kibenedikto iliyoanzishwa na Ebrolfi na iliyoitwa mahali pa sala, kwa sababu ilikuwa na sehemu mbalimbali alipomtumikia Bwana mfululizo[1].

Sanamu ya Mt. Angadrisma.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Desemba[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.