Aniano wa Bavaria
Aniano wa Bavaria (aliishi karne ya 7) alikuwa mkaapweke au shemasi mmisionari huko Ujerumani aliyeuawa na Wapagani [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini pamoja na Marino wa Bavaria.
Sikukuu yao ni tarehe 15 Novemba [2].
Tazama pia
haririTanbihi
haririMarejeo
hariri- (Kijerumani) Romuald Bauerreiß: Die „Vita SS. Marini et Anniani“ und Bischof Arbeo von Freising (765–783), in: Studien und Mitteilungen zur Geschichte des Benediktinerordens und seiner Zweige, Band 51, 1933, S. 37–49.
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- (Kijerumani) Heilige Anianus und Marinus Erzbistum München und Freising
- (Kijerumani) Die Legende der heiligen Marinus und Anianus, Märtyrer bei heiligenlegenden.de
- (Kijerumani) https://web.archive.org/web/20070831170724/http://www.bautz.de/bbkl/m/marinus_anianus.shtml MARINUS und ANIANUS|band=15|spalten=987-988|autor=Ekkart Sauser
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |