Marino wa Bavaria (kwa Kijerumani: Marinus; visiwa vya Britania, karne ya 7 - Ujerumani, 697) alikuwa askofu mmisionari katika Ulaya bara aliyeuawa na Wapagani [1].

Mt. Marino katika bendera ya Irschenberg.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini pamoja na Aniano wa Bavaria.

Sikukuu yao ni tarehe 15 Novemba [2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.