Aniene ni mto wa mkoa wa Lazio nchini Italia ambao ni tawimto la Tiber.

Maporomoko ya maji ya Aniene huko Tivoli, 1890.

Urefu wake ni km. 99.

TanbihiEdit

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu: