Ansovini wa Camerino (karne ya 9 - 13 Machi 868) anakumbukwa kama askofu wa Camerino (Italia ya Kati) kuanzia mwaka 850 hadi kifo chake[1].

Mt. Ansovini pamoja na Mt. Jeromu.

Alipenda kuleta amani na kusaidia maskini[2].

Kipindi fulani baada ya upadrisho alikuwa ameishi kama mkaapweke.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. [1]
  2. Realy, Margaret Rose. "The Pope's Prayer for Small Farmers", Aleteia, April 3, 2016
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.