Antonina wa Nisea

Antonina wa Nisea (Nisea, Bitinia, leo nchini Uturuki, karne ya 3 - Nisea, 303 hivi) alikuwa mwanamke Mkristo ambaye kwa dini yake hiyo aliteswa kikatili, alifungwa miaka miwili na hatimaye alichomwa moto wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian[1].

Picha takatifu ya Mt. Antonina.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Mei[2].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.