Apolo wa Bawit (316 - 395) alikuwa mmonaki wa Misri ambaye, baada ya kuishi miaka 40 upwekeni katika jangwa la Thebe, aliacha hali hiyo ili kumpinga Kaisari Juliani Mwasi, akawa abati wa wamonaki 500 karibu na Hermopilis.

Anaheshimiwa tangu zamani sana kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 22 Oktoba kila mwaka[1].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.