Arkadius wa Mauretania

Arkadius wa Mauretania (alifariki 304 hivi) alikuwa Mkristo wa Caesarea ya Mauretania Caesariensis (leo Cherchell nchini Algeria) aliyeuawa kwa ajili ya imani yake.

Inasemekana alihama mji wake ili asilazimishWe kuabudu miungu ya Roma ya Kale, lakini aliposikia ndugu yake alikamatwa badala yake alijitokeza kwa hiari akakatwa vipandevipande [1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Januari[3][4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Martyrologium Romanum
  2. Tradition states that he was a prominent citizen of who hid away in the countryside to avoid being forced to worship the Roman gods. However, he was caught and arrested. His legend states that he suffered a grisly death. His limbs were cut off, joint by joint, until all that remained were his trunk and head. According to his legend, as Arcadius looked around at all the pieces of him, hacked off, and lying on the ground, he could still speak, and cried out, "You are happy, my members. Now you really belong to God. You have all been sacrificed to Him."
  3. Martyrologium Romanum
  4. http://catholicsaints.info/saint-arcadius-of-mauretania/

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.