Armentari (alifariki Pavia, Lombardia, Italia, 731) alikuwa askofu wa 19 wa mji huo wa Italia Kaskazini kwa zaidi ya miaka 10[1].

Ndiye aliyepokea na kuhifadhi kwa heshima masalia ya Augustino wa Hippo yalipohamishiwa Pavia.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Januari[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/91284
  2. Martyrologium Romanum, 2004
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.