Arseni wa Korfu (pia: Arseni wa Kerkyra; alifariki 959 hivi) alikuwa askofu wa kisiwa hicho cha Ugiriki aliyewajibika kuchunga kundi lake na kukesha usiku katika sala.

Inasemekana alikuwa kwanza Myahudi kutoka Palestina, ingawa alizaliwa Konstantinopoli.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Januari[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.